• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TFF yakanusha kuzuia mashindano ya soka yasiyo rasmi

    (GMT+08:00) 2017-12-29 08:40:35

    Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limekanusha taarfia zinazosambaa zikipotosha kauli ya Rais Wallace Karia kuhusu kuzuia mashindano ya soka yasiyo rasmi. Taarifa ya TFF imeeleza kuwa watu wanamnukuu vibaya Rais Karia kwani hakusema shirikisho hilo linafuta mashindano bali zinaandaliwa kanuni ambazo zitatakiwa kufuatwa na waandaaji wa mashindano hayo.

    Kwa mujibu wa taarifa TFF inaandaa kanuni ili mashindano yote ya aina hiyo yakidhi vigezo katika utaratibu mzuri na watapata vibali kupitia FA Wilaya na Mikoa baada ya kutimiza vigezo vitakavyowekwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako