• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WB: Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Msumbiji wapungua

    (GMT+08:00) 2017-12-29 09:01:58

    Ripoti iliyotolea hivi karibuni na Benki ya dunia imesema uchumi wa Msumbiji unakua kwa kasi ya kati, baada ya kuongezeka kwa kasi katika miaka iliyopita. Ripoti inasema ongezeko la pato la ndani la Msumbiji lilifikia asilimia 7 kila mwaka kuanzia mwaka 2011 hadi 2015, lakini litashuka hadi asilimia 3.1 mwaka huu, licha ya ongezeko imara kwenye uuzaji wa makaa ya mawe na alumini kwa nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako