• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamanda wa wapiganaji washia nchini Syria aonekana kwenye video kutembelea eneo la mpaka wa Lebanon na Israel

    (GMT+08:00) 2017-12-29 09:02:42

    Kamanda wa operesheni za wapiganaji washia wanaounga mkono serikali ya Syria ameonekana akitembelea eneo la kusini mwa Lebanon kwenye video iliyotolewa katika ukurasa wa Facebook wa kundi hilo. Kamanda huyo anayejulikana kwa jina la Abu Abbas, anaongoza brigedi ya Imam al-Baqer nchini Syria. Pamoja na video na picha za ziara ya kamanda huyo, kundi hilo pia limeandika kwenye ukurasa wa Facebook kuwa "Wacha Israel ijue kwamba wako kwenye mipaka yake na iko siku watavunja mipaka hiyo".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako