• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi yavutia ajira kwa wageni nchini China

    (GMT+08:00) 2017-12-29 18:33:49
    Raia wengi wa kigeni wenye ujuzi wa michezo ya Olimpiki wanapata fursa za ajira nchini China wakati mashindano ya Olimpiki ya kipindi cha baridi ya mwaka 2022 yakikaribia.

    Raia hao akiwemo Keith Dorin na Hans Wuthrich kutoka Canada ni wataalam wa michezo ya Olimpiki, na wamekuja China mwaka jana kwa ajili ya kujiandaa na mashindano hayo. Dorin amepata kazi ya kusaidia kutengeneza viwanja kadhaa vya barafu kwa ajili ya matukio mbalimbali nchini China na pia anatoa mafunzo kwa wachina wenye kipaji cha kutengeneza barafu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako