• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yajitahidi kupambana na umaskini

    (GMT+08:00) 2017-12-29 20:00:19

    Mkutano wa kazi ya kupambana na umaskini wa China umefanyika hivi karibuni hapa Beijing.

    Akihutubia katika mkutano huo, Mjumbe wa kudumu wa ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya chama cha Kikomunisti cha China ambaye pia ni kiongozi wa kundi la kuongoza mapambano dhidi ya umaskini la baraza la serikali ya China Bw. Wang Yang amesifu maendeleo makubwa yaliyopatikana katika kazi ya kuondoa umaskini. Amesisitiza kuwa, mwaka kesho ni mwaka muhimu kwa kuondoa umaskini, na ni lazima kuzingatia sehemu zenye umaskini wa kiwango cha juu, kutilia mkazo kuwasaidia watu maalumu maskini, na kuzingatia masuala makubwa yanayohitajika kutatuliwa yanayokabiliwa na watu maskini, pia kuboresha sera na hatua za kuwasaidia watu maskini, kuimarisha usimamizi wa fedha, na kuhimiza kazi za kuondoa umaskini kuwa na sifa na ufanisi zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako