• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco yachukua tahadhari ya juu dhidi ya tishio la usalama katika mkesha wa Mwaka mpya

    (GMT+08:00) 2018-01-01 08:47:18

    Vikosi vya usalama vya Morocco vimechukua tahadhari ya juu dhidi ya tishio la usalama katika mkesha wa mwaka mpya, ambapo maofisa wapatao elfu 60 wa polisi wametumwa kuimarisha usalama kote nchini humo haswa kwenye maeneo nyeti, ikiwemo vivutio vya utalii na maeneo ya kidiplomasia. Habari zinasema mamilioni ya watalii wakiwemo watu wengi mashuhuri duniani wamechagua kwenda Morocco kusherehekea mwaka mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako