• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Russia kufadhili miradi ya maendeleo ya Iran

    (GMT+08:00) 2018-01-01 08:47:35

    Iran itatumia fedha kutoka benki ya Exim ya Russia kutekeleza miradi ya miundombinu nchini humo. Benki kuu ya Iran na Shirika la bima ya mauzo ya nje la Russia walisaini makubaliano hivi karibuni, ikiwa ni hatua ya kutandika njia kwa benki za Russia kufadhili miradi ya maendeleo nchini Iran. Kwa mujibu wa makubaliano hayo, benki ya Exim ya Russia itatoa mikopo bila ukomo kwa benki nne za Iran ili kufadhili miradi ya maendeleo nchini Iran, na mashirika ya Russia pia yanaweza kutumia mikopo hiyo kuuza huduma za kiufundi na uhandisi kwa Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako