• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Ufaransa atoa wito wa kukomesha mgawanyiko wa jamii na kuahidi kuhimiza mageuzi

    (GMT+08:00) 2018-01-01 08:48:21

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametoa wito kwa wananchi wake kukomesha mgawanyiko katika mwaka mpya na kuahidi kuendeleza mageuzi ya kina aliyoyazindua mwaka jana. Akitoa hotuba ya mwaka mpya kwa njia ya televisheni, rais Macron amesema mgawanyiko usiotatuliwa kwenye jamii utahujumu maendeleo ya nchi, na pia ameahidi kuimarisha mapambano dhidi ya ugaidi katika mwaka huu kwenye kanda za mashariki ya kati, Afrika na Ufaransa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako