• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan aahidi kuendeleza uwezo wa kivita kwa ajili ya kujilinda

    (GMT+08:00) 2018-01-01 09:41:01

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan amesema nchi yake itaendelea kuendeleza uwezo wa kivita kwa ajili ya kujilinda dhidi ya uvamizi wa ardhi yake au ukiukaji wa mamlaka yake.

    Rais Bashir pia ametoa ahadi ya kufanya ushirikiano wa kimataifa ili kuimarisha amani na usalama wa kikanda na kimataifa, na kufanya juhudi za kupambana na ugaidi, uhalifu wa kutakatisha fedhs na biashara haramu ya binadamu.

    Wakati huo huo, rais huyo pia amesisitiza kuwa watu wa Sudan watasimama bega kwa bega na wapalestina, kwani wanajitahidi kulinda uislamu na maeneo matakatifu ya Kiislamu na ya Kikristo mjini Jerusalem.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako