• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri kupata kunufaika na mageuzi ya kiuchumi mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-01-01 09:41:23

    Misri itaanza kunufaika na mpango wake wa mageuzi ya kiuchumi, na sheria na kanuni mpya za kuvutia uwekezaji katika mwaka huu.

    Waziri wa biashara na viwanda wa Misri Bw. Tarek Kabil amesema kwenye taarifa kuwa, sekta ya viwanda nchini Misri imepata mafanikio yasiyotarajiwa mwaka uliopita, ambayo yameonesha ukuaji wa uchumi na uwezo wa ushindani wa bidhaa za Misri.

    Aliongeza kuwa mafanikio ya viwanda mwaka 2017 ni pamoja na uzinduzi wa mpango wa uwekezaji uliotoa nafasi 4,136 za ajira katika sekta nane nchini humo, na kutolewa kwa sheria mpya inayorahisisha hatua ya utoaji wa leseni za viwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako