• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usafiri wa treni nchini China washuhudia abiria wengi wakati wa msimu wa sikukuu ya Mwaka Mpya

    (GMT+08:00) 2018-01-01 18:10:59

    Usafiri wa treni nchini China umeshuhudia abiria wengi wakati wa sikukuu ya Mwaka Mpya, ikiwa ni kuwapeleka watu kwenye vivutio vya utalii au kuwarudisha makwao kwa ajili ya kukutana na familia kabla ya kurejea kazini na shuleni.

    Mtandao wa reli nchini China unatarajiwa kusafirisha watu karibu milioni 11 hii leo, ikiwa ni siku ya mwisho ya siku tatu za mapumziko ya Mwaka Mpya. Ili kukabiliana na mahitaji hayo, Shirika la Reli la China limeongeza treni za muda 261 hii leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako