• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Wakulima 6000 wapewa mashamba

    (GMT+08:00) 2018-01-01 19:32:57

    Zaidi ya wakulima elfu 6 nchini Rwanda wamepokea mashamba ya kupanua kilimo cha biashara.

    Mashamba hayo yametolewa na bodi ya kitaifa ya kilimo katika wilaya za Kihere,Rulindo,Gakenke na Nyamagabe.

    Mashamba hayo yamenunuliwa chini ya mradi wa serikali ya Rwanda wa kuongeza kipato na uzalishaji wa ndani ya nchi.

    Mashamba hayo ya hekari 1515 yatatumiwa kwa kilimo cha kahawa kwa lengo ya kufikia uzalishaji mkubwa.

    Mwaka jana Rwanda ilipata dola milioni 58.5 kutokana na mauzo ya nje ya kahawa .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako