• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco na Liberia zaahidi kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    (GMT+08:00) 2018-01-02 08:36:01

    Morocco na Liberia jana zilieleza dhamira yao ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili.

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mfalme wa Morocco, dhamira hiyo imeelezwa wakati Mfalme wa Morocco Mohammed wa sita alipoongea kwa njia ya simu na rais mteule wa Liberia George Weah.

    Kwenye mazungumzo yao, Mfalme wa Morocco alimpongeza Bw. Weah kwa ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu wa Liberia, na kuahidi kuimarisha uhusiano wa kirafiki kwenye sekta zote.

    Naye rais Weah amesisitiza dhamira yake ya kuimarisha uhusiano wa pande zote kati ya Liberia na Morocco.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako