• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kanuni kali za matumizi ya maji zaanza kutekelezwa Cape Town

    (GMT+08:00) 2018-01-02 08:47:45

    Mji wa Cape town umeanza kutekeleza kanuni kali za kudhibiti matumizi ya maji kutokana na utafiti unaokadiria kuwa mji huo utakuwa wa kwanza duniani kuishiwa na maji. Kanuni hizo haziruhusu uchimbaji visima vya maji ili kuhifadhi raslimali za maji chini ya ardhi, na pia zinapiga marufuku vitendo vya kumwagilia, kusafisha magari, na kujaza mabwawa binafsi ya kuogelea kwa kutumia maji ya bomba. Kwa mujibu wa kanuni hizo, kila mkazi wa mji huo anatakiwa kutumia maji yasiyozidi lita 87 kila siku.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako