• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yasema uingiliaji wa nje katika mambo ya ndani ya Iran haukubaliki

    (GMT+08:00) 2018-01-02 08:48:05

    Wizara ya mambo ya nje ya Russia imeeleza matumaini yake kuwa maandamano makubwa yanayoendelea nchini Iran hayatageuka kuwa vurugu za kimabavu na kwamba uingiliaji wowote wa nje kwenye mambo ya ndani ya Iran haukubaliki. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran, watu wasiopungua 15 wameuawa kwenye maandamano yanayoipinga serikali kote nchini Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako