• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yashuhudia ongezeko kubwa la utalii kipindi cha sikukuu ya mwaka mpya

    (GMT+08:00) 2018-01-02 08:48:38

    Takwimu zilizotolewa na mamlaka ya utalii ya China zinaonesha kuwa China imeshuhudia ongezeko la kasi kwenye sekta ya utalii katika kipindi cha sikukuu ya mwaka mpya, ambapo jumla ya watalii milioni 133 wametembelea kote nchini katika mapumziko hayo ya siku tatu, na kuingiza mapato ya dola bilioni 11.6 za kimarekani, kiwango ambacho kimeongezeka kwa asilimia 11.08 na asilimia 11.22 mtawalia ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako