• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UN yalaani uharibifu wa makazi ya wakimbizi wa ndani Somalia

    (GMT+08:00) 2018-01-02 09:22:45

    Mratibu wa nyumba na misada ya kibidamu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Peter de Clercq jana alilaani ripoti kuhusu uharibifu wa makazi ya wakimbizi wa ndani nchini Somalia, pamoja na miundo mbinu ya misaada ya kibinadamu katika K13 mjini Mogadishu.

    Bw. Peter de Clercq amesema kuwa makazi zaidi ya 23 wanayoishi wakimbizi wa ndani zaidi elfu 4 yameharibiwa tarehe 29 na 30 Desemba, akibainisha kuwa sasa watu hao wanaishi nje.

    Amezitaka pande zote kulinda na kuwasaidia watu wanaokimbia mgogoro na ukame, na wafanyakazi wa msaada wa kibinadamu wako tayari kushirikiana na kuiunga mkono Somalia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako