• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikapu, Rwanda: REG washauriwa kutokata tamaa

    (GMT+08:00) 2018-01-02 10:28:30
    Timu ya shirika la Nishati la Rwanda REG inayoshiriki ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Rwanda imesema bado ina nafasi ya kusawazisha makosa na kufufua matuamini ya kutwaa ubingwa msimu huu baada ya kufungwa na wapinzani wake wa kihistoria The Patriots.

    REG walishindwa kwa alama 75-60, ikiwa ni mchezo ambao ulitarajiwa kuwa mgumu kwao baada ya Patriots kuwa na makali kufanikiwa kushinda mechi nyingine zote zilizopita.

    Kocha mkuu wa REG Cyrille Kalima wasithubutu kukatishwa tamaa na kufungwa na waangaze zaidi kupata ushindi katika mechi ili kutwaa ubingwa msimu huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako