• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya kukumbwa na uhaba wa nafaka

    (GMT+08:00) 2018-01-02 18:43:05

    Huenda Kenya ikakumbwa na uhaba wa chakula kufuatia kupungua kwa mavuno ya mahindi na ngano kutoka eneo la bonde la ufa ambalo huzalisha nafaka kwa wingi.

    Wizara ya kilimo nchini humo inakadiria kwamba upungufu wa wahindi kwa asilimia 20 ambayo kutasababisha uhaba mkubwa kote nchini.

    Mwaka jana Kenya ilipata magunia milioni 37 ya kilo 90 ya mahindi lakini mwaka huu inapata milioni 32.,

    Uzalishaji wa mahindi katika kaunti ya Uasin Gishu ulipungua kwa asilimia 25 kufuatia kuzukakwa viwavi jeshi.

    Aidha uzalishaji wa ngano nao ulishuka hadi magunia 430,000 kutoka magunia 466,000 ya mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako