• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wana usalama watano ni miongoni mwa watu 12 waliojeruhiwa katika shambulizi la kigaidi kusini magharibi mwa Pakistan

    (GMT+08:00) 2018-01-03 09:00:00

    Watu 12 wakiwemo wana usalama watano walijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililotokea jana jioni kwenye kituo kimoja cha ukaguzi mjini Quetta, kusini magharibi mwa Pakistan. Habari zinasema watu wawili wasiojulikana waliokuwa na silaha walikifyatulia risasi kituo cha ukaguzi kwenye eneo la Baleli mjini Quetta, kabla ya kuuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama. Kundi la Taliban nchini Pakistan limetangaza kuwajibika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako