• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji haramu zaidi ya 1,600 washikiliwa Uturuki

    (GMT+08:00) 2018-01-03 09:00:21

    Jeshi la Uturuki limesema jumla ya wahamiaji haramu 1,632 wameshikiliwa kote nchini humo tangu mapema Jumatatu. Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo inasema miongoni mwa wahamiaji hao haramu, watu 1,556 kutoka Syria walikuwa wanajaribu kuingia kiharamu nchini Uturuki, na wengine 64 walikamatwa wakati wanajaribu kuingia nchini Ugiriki kutoka Uturuki. Uturuki imekuwa kituo kikubwa kwenye njia ya wahamiaji kwenda Ulaya, tangu vita ya wenyewe kwa wenyewe ianze nchini Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako