• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Usalama la UM kufuatilia masuala ya kutoeneza silaha za nyuklia, Afghanistan na Mashariki ya Kati mwezi Januari

    (GMT+08:00) 2018-01-03 09:29:11

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajia kujadili masuala ya kutoeneza silaha za nyuklia, hali za Afghanistan na Mashariki ya Kati.

    Mwenyekiti wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Bw. Kairat Umarov amesema baraza hilo litaandaa mkutano wa ngazi ya juu kuhusu suala la kutoeneza silaha za nyuklia tarehe 18 Mwezi Januari, kuitisha mkutano wa mawaziri kuhusu kuanzishwa kwa uhusiano wa kiwenzi kati ya Afghanistan na Asia ya Kati tarehe 19, ili kuanzisha mfumo unaounganisha usalama na maendeleo. Baraza hilo pia linatarajiwa kujadili hali ya Mashariki ya Kati ikiwemo Palestina tarehe 25 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako