• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Beijing yatimiza lengo la ubora wa hewa kwa mwaka 2017

  (GMT+08:00) 2018-01-03 17:47:03

  Kiwango cha PM2.5 cha Beijing kimedumu kuwa na uzito wa microgram 58 kwa ujazo wa mita kwenye hewa kwa mwaka 2017, hivyo kutimiza lengo lililowekwa na Baraza la Serikali la China.

  Naibu mkurugenzi wa kituo cha usimamizi wa ulinzi wa mazingira mjini Beijing Liu Baoxian amesema, uzito katika hewa ulipungua kwa asilimia 20.5 ikilinganishwa na kiwango cha wastani kwa mwaka 2016.

  Mpango wa kudhibiti na kuzuia uchafuzi kwenye hewa uliotolewa na Baraza la Serikali la China mwaka 2013 uliitaka Beijing kupunguza kiwango cha uchafuzi ifikapo mwaka 2017.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako