• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari zaidi 5,000 wauawa kwenye vita dhidi ya ugaidi Benghazi Libya

    (GMT+08:00) 2018-01-04 09:40:34

    Msemaji wa jeshi la Libya Bw. Ahmed Mismari amesema askari zaidi ya elfu tano wameuawa kwenye mapambano dhidi ya ugaidi mjini Benghazi, mashariki mwa Libya. Alhamisi iliyopita jeshi la Libya lilitangaza kutwaa udhibiti wa maeneo yote ya Sidi Ekhrebish katikati ya mji wa Benghazi, ambayo ni ngome ya mwisho ya magaidi mjini humo, hatua ambayo inamaanisha kuwa operesheni zote za kijeshi zilizodumu kwa miezi mitano mjini humo zimemalizika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako