• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la Jihad laonya dhidi ya shambulizi la Israel kwenye ukanda wa Gaza

    (GMT+08:00) 2018-01-04 09:41:12

    Kundi la Jihad la Palestina limeonya dhidi ya madhumuni ya Israel kuimarisha mashambulizi dhidi ya ukanda wa Gaza, na kusisitiza kuwa watajibu hatua zozote za kijeshi zitakazochulikuwa na Israel. Vyombo vya habari vya Israel vimesema makombora yaliyorushwa dhidi ya Israel kutoka Gaza Ijumaa iliyopita yanaonekana kuwa ni sawa na yale yaliyotengenezwa na Iran, ambayo yalitumiwa na kundi la Jihad kwenye shambulizi la Novemba 3, na pia vimesema mashambulizi ya hivi karibuni yameonesha kuwa kundi la Hamas linalotawala Gaza limepoteza uwezo wa kuzuia makundi mengine kufanya mashambulizi kutoka ukanda huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako