• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali za mitaa nchini China zapunguza madeni kwa mwaka 2017

  (GMT+08:00) 2018-01-04 17:21:50

  Serikali za mitaa nchini China zimepunguza kutoa dhamana kwa mwaka 2017, ikiwa ni juhudi za kupunguza mzigo wa madeni wa nchi.

  Takwimu za masoko zilizotolewa na kampuni ya kutoa taarifa za mambo ya fedha ya Wind zimeonyesha kuwa, serikali za mitaa zilipata dola za kimarekani bilioni 670 kupitia kutoa dhamana 1,134 ya madeni kwa mwaka jana.

  Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Fedha ya China zimeonyesha kuwa, mpaka kufikia mwisho wa mwezi Novemba mwaka jana, deni la serikali za mitaa nchini China lilikuwa ni dola za kimatekani trilioni 2.5, ikiwa ni chini ya lengo la serikali la dola za kimarekani trilioni 2.9.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako