• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kuiunga mkono Cuba

    (GMT+08:00) 2018-01-04 17:26:12

    Mjumbe wa Umoja wa Ulaya aneyeshughulikia sera za diplomasia na usalama Bi. Federica Mogherini amesema, Umoja huo haukubali hatua zilizotolewa na Marekani kuhusu kuitenga Cuba zaidi, ambazo zitaweza kuharibu uhusiano wa kibiashara kati ya Umoja huo na Cuba.

    Bi. Mogherini ambaye yuko ziarani nchini Cuba amesema, Umoja wa Ulaya unapenda kushirikiana na Cuba kwenye mchakato wa mageuzi ya nchi hiyo.

    Makubaliano yaliyosainiwa na Umoja wa Ulaya na Cuba kuhusu mazungumzo ya kisiasa na ushirikiano yalizinduliwa rasmi tarehe 1 mwezi Novemba mwaka 2017, mara bunge la Umoja wa Ulaya litakapopitisha makubaliano hayo, utekelezaji wake utaanza kwa pande zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako