• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wanafunzi wa Rwanda washiriki kambi ya roboti

    (GMT+08:00) 2018-01-04 18:41:52

    Wanafunzi 20 kutoka shule mbalimbali nchini Rwanda wameanza kambi ya utafiti wa roboti katika mji mkuu Kigali.

    Kambi hiyo ya wiki tatu ambayo imeandaliwa na benki ya Kigali itaongozwa na wanafunzi wa taasisi ya teknolojia ya Massachusetts ya Marekani.

    Mkurungezi wa benki ya Kigali Regis Rugemanshuro, amesema lengo la kambi hiyi ni kukuza masomo ya sayansi, teknolojia, uhadisi na isabati mingoni mwa wanafunzi wachanga.

    Mkurungezi wa idara ya habari na teknolojia kwenye wizara ya habari na mawasiliani Claudette Irere, amesema kupitia kwa mazoezi kama hayo wanafunzi watasaidia kukuza uchumi wan chi katika siku za baadaye kwa kutumia elimu kutafuta suluhu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako