• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi vya usalama vyamua kiongozi wa kundi la IS mashariki mwa Iraq

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:40:27

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimemwua kiongozi maarufu wa kundi la Islamic State jimboni Diyala, mashariki mwa Iraq, wakati jeshi la Iraq limeanza kuondoka kwenye maeneo ya mijini katika jimbo hilo. Mkuu wa kamati ya usalama ya jimbo hilo Bw. Sadiq al-Hussein, amesema Kutokana na taarifa za kijasusi, vikosi vya Iraq vilifanikiwa kumwua kiongozi wa kundi la Islamic State katika jimbo hilo, anayejulikana kwa jina la Abu Ayed, kwenye operesheni iliyofanyika katika eneo la mlima wa Himreen, kilomita 65 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Baghdad.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako