• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wauguzi watoa onuo la kufanya mgomo kutokana na kucheleweshwa kwa makubaliano ya malipo

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:55:31
    Shirikisho la Kitaifa la Wauguzi nchini Kenya (KNUN) limerejea tena mapambano yake ya nyongeza ya mshahara kutokana na serikali kushindwa kutekeleza makubaliano ya malipo yaliyofikiwa pamoja nao. Shirikisho hilo pia limetoa muda wa mwisho kwa serikali za kaunti13, na kusema mpaka kufikia jana jioni, ziwe zimewalipa wauguzi wao au kuonyesha jinsi malipo ya mishahara yao ya miezi mitano iliyopita walipokuwa kwenye mgomo yatakavyofanyika.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako