• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hali ngumu wakati bei ya unga inatarajiwa kuongezeka

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:55:49
    Bei ya rejareja ya unga wa mahindi nchini Kenya inatarajiwa kuongezeka kuanzia jumatatu ijayo baada ya kumalizika kwa miezi sita ya bei iliyopangwa na serikali hapo Disemba 31 mwaka jana. Hapo jana, maduka mbalimbali nchini humo yalionekana yakimalizia kuuza ungo huo uliokuwa ukiuzwa kwa Sh 90 kwa mfuko wa kilo mbili.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako