• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sheria ya Ukomo wa umri: Makada wa NRM wampongeza Museveni

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:56:09
    Makada wa ngazi ya juu wa chama tawala cha NRM nchini Uganda wamepongeza hatua ya rais Yoweri Museveni wan chi hiyo kupitisha mabadiliko ya katiba ya nchi, ambayo yanamfanya aweze kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao na chaguzi zitakazofuata. Kutokana na kusainiwa kwa Sheria hiyo, makada hao wamewashauri wenzao wa upande wa upinzani kukubali kushindwa na kuendelea kutekeleza majukumu yao mengine.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako