• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakazi 15,000 wa Kirehe, Kayonza walioathirika na ukame wapata msaada wa chakula

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:56:51
    Zaidi ya wakazi 15,000 wa mkoa wa Mashariki nchini Rwanda ambao mazao yao yaliharibika kurokana na ukosefu wa mvua za kutosha katika msimu uliopita wanapokea msaada wa chakula kuanzia mwezi Disemba mwaka jana. Wakazi hao wanatoka kata za Nyamugali, Kigarama na Kigina katika wilaya ya Kirehe, na kata za Rwinkwavu na Ndego wilayani Kayonza.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako