• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mnada wa magari bandarini wagubikwa na malalamiko

    (GMT+08:00) 2018-01-05 08:57:11
    Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania kupitia kampuni ya Yono Auction Mart imeendesha mnada wa magari 140 yaliyotelekezwa bandarini jijini Dar es Salaam. Licha ya watu wengi kujitokeza, mnada huo uligubikwa na malalamiko kutoka kwa wateja waliodai utaratibu mbaya umetumika katika kuendesha mnada huo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako