• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gofu: Tiger Woods kushiriki mashindano ya San Diego, Marekani

    (GMT+08:00) 2018-01-05 10:15:06
    Habari njema kwa wapenzi wa mchezo wa gofu ni kuwa, aliyewahi kuwa mchezaji namba moja kwa viwango vya ubora duniani ambaye kwa kiasi kikubwa amekuwa na mvuto kila awapo uwanjani Tiger Woods ametangazwa kuwa miongoni mwa nyota watakaoshiriki michuano ya mwaka huu ya San Diego inayotarajiwa kuanza January 25 nchini Marekani.

    Tiger Woods ambaye hakushiriki mashindano yoyote ya gofu kwa kipindi cha miezi kumi hadi alipoonekana kwenye michuano ya Mashujaa mwezi Disemba mwaka jana, anatarajiwa kushiriki pia michuano midogo ya Riviera itakayoanza Februari 15 hadi 18.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako