• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Uingereza: Son ainusuru Spurs dhidi ya West Ham

    (GMT+08:00) 2018-01-05 10:15:43
    Goli la dakika za mwisho la Hueng Min Son limeinusuru Tottenham Hotspurs isifungwe na West Ham iliyokuwa inaongoza kwa goli moja lililofungwa na Pedro Obiang katika dakika ya 70 kwenye mechi ya ligi kuu nchini England iliyofanyika uwanja wa Wembley.

    Kasi ya West Ham imeonekana kuongezeka chini ya kocha David Moyes, na ikiwa na kiu ya kujinusuru kwenye hatihati ya kushuka daraja, lakini katika mechi ya jana ushindi ulifutwa na Son ambaye amefikisha magoli 10 msimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako