• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Hispania: Barcelona yalazimishwa sare na Celta Vigo katika kombe la mfalme

    (GMT+08:00) 2018-01-05 10:16:02
    Nako nchini Hispania, Barcelona ikiwa ugenini imelazimishwa sare ya goli 1-1 na Celta Vigo katika mechi ya kwanza ya hatua ya 16 bora michuano kombe la mfalme (Yaani Copa dela Rey).

    Goli la Celta Vigo lilifungwa na Sisto Pieno na Barcelona likifungwa na Jose Arnaiz.

    Nao mahasimu wa kihistoria wa Barcelona, Real Madrid jana wamejinyakulia ushindi wa magoli 3-0 katika mechi yao dhidi ya Numancia katika michuano hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako