• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kusini yasema Korea Kaskazini imekubali kufanya mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya nchi hizo mbili

    (GMT+08:00) 2018-01-05 16:50:23

    Wizara ya muungano ya Korea Kusini imesema Korea Kaskazini imekubali kushiriki mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya nchi hizo mbili katika kijiji cha Panmunjom jumanne ijayo.

    Msemaji wa wizara hiyo Bw. Baik Tae-hyun amesema, leo asubuhi Korea Kusini imepata barua kutoka Korea Kaskazini inayokubali mazungumzo hayo, na kusema katika mazungumzo hayo, masuala kadhaa yatajadiliwa ikiwemo kuboresha uhusiano wa nchi hizo mbili na Korea Kaskazini kutuma ujumbe kushiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya PyeongChang.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako