• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yapunguza idadi ya watu masikini kwa theluthi mbili

  (GMT+08:00) 2018-01-05 17:40:26

  China imepunguza idadi ya watu masikini kwa theluthi mbili katika miaka mitano iliyopita.

  Mkurugenzi wa ofisi ya kupambana na umaskini ya baraza la serikali ya China Liu Yongfu amesema, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka jana, China ilikuwa na watu karibu milioni 30 wanaoishi chini ya mstari wa umasikini, na kuongeza kuwa China iko karibu na kutimiza lengo la kuondoa umasikini uliokithiri.

  Kuondoa umasikini ni moja ya mapambano makubwa matatu ya China katika miaka mitatu ijayo, wakati nchi hiyo ikilenga kuondoa umasikini uliokithiri ifikapo mwaka 2020, kwa lengo la kujenga jamii yenye ustawi wa kati.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako