• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria lavunja hali ya kuzingirwa na waasi mashariki mwa Damascus

    (GMT+08:00) 2018-01-08 08:56:56

    Jeshi la Syria limefanikiwa kuvunja hali ya kuzingirwa na waasi wenye itikadi kali kwenye kambi moja muhimu ya kijeshi iliyoko mjini Harasta, mashariki mwa Damascus. Mafanikio hayo yamekuja kufuatia operesheni ya kijeshi ya siku moja inayolenga kuvunja hali ya kuzingirwa na waasi wa kundi la LLC lenye uhusiano na al-Qaida kwenye kambi hiyo. Mwezi uliopita, wapiganaji wa LLC walifanya shambulizi kubwa mjini Harasta na kutwaa udhibiti wa kambi hiyo ya kimkakati na kuizingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako