• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Palestina yautaka Umoja wa Ulaya kutambua Jerusalem Mashariki kuwa mji mkuu wake

    (GMT+08:00) 2018-01-08 09:19:04

    Maofisa wa Palestina wamesema, wanafanya juhudi ya kuufanya Umoja wa Ulaya kutambua Jerusalem Mashariki kuwa mji mkuu wa Palestrina baada ya Marekani kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.

    Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Palestina, rais Mahmoud Abbas Januari 22 huko Brussels atakutana na mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya, ambapo atawataka mawaziri hao kuitambua nchi ya Palestina kwenye ardhi zilizotekwa na Israel mwaka 1967, Jerusalem Mashariki ikiwa ni mji mkuu wake.

    Utambuzi wa Umoja wa Ulaya utafufua suluhisho la nchi mbili linaoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa, na kusaidia juhudi za wapalestina kupata uanachama kamili wa Umoja wa Mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako