• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya CHAN, Uganda kunufaika na shilingi milioni 630 za CAF

    (GMT+08:00) 2018-01-08 09:34:14
    Shirikisho la vyama vya soka barani Afrika, CAF linatarajiwa kutoa kiasi cha dola za kimarekani 175,000 kwa kila timu inayoshiriki michuano ya kombe la mataifa kwa wachezaji wa ligi za ndani CHAN, litakalofanyika nchini Morocco.

    Timu za Rwanda na Uganda ndiyo pekee zinawakilisha ukanda wa Afrika Mashariki, na zinazotarajia kunufaika na dau hilo.

    Kwa Uganda thamani ya pesa hizo ni kubwa ikilinganishwa na ile waliyopata mwaka 2014 waliposhiriki michuano kama hiyo nchini Afrka Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako