• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu ya Rwanda, Espoir waanza kurejea katika makali

  (GMT+08:00) 2018-01-08 09:38:07

  Timu ya Espoir yaanza kurejea katika makali yake, kufuatia ushindi wake kwenye mechi dhidi ya Rusizi 95-52 iliyofanyika katika uwanja wa ndani wa Amahoro.

  Espoir ambao wamewahi kutwaa ubingwa ligi hiyo walifanikiwa kuongoza kitakwimu katika mechi hiyo kwenye robo zote mchezo huo, na ikiwa ni ushindi wa pili mfululizo baada ya kuwafunga IPRC-Kigali wiki iliyopita.

  Katika mechi nyingine iliyopigwa wikendi hii IPRC Kusini waliwafunga UGB kwa vikapu 75-58.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako