• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya vifurushi vinavyosafirishwa nchini China mwaka 2018 yatarajiwa kufikia bilioni 47

  (GMT+08:00) 2018-01-08 19:36:11

  Idara ya posta ya China inakadiria kuwa, idadi ya vifurushi vinavyosafirishwa nchini China inatarajiwa kufikia bilioni 49 mwaka 2018, ikiwa ni ongezeko la asilimia 22.5 ikilinganishwa na mwaka jana. Ikilinganishwa na idadi ya watu ya China bara, wastani wa vifurushi kwa kila mtu ni 35.

  Mkutano wa kazi ya posta wa China umefanyika leo mjini Beijing. Ripoti iliyotolewa kwenye mkutano huo inasema kuwa, thamani ya jumla ya shughuli za posta za mwaka 2017 inakadiria kufikia yuan bilioni 976.5, idadi ya vifurushi vilivyosafirishwa mwaka 2017 imefika bilioni 40.1.

  Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya vifurushi vinavyosafirishwa nchini China imekuwa nafasi ya kwanza duniani kwa miaka minne mfululizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako