• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Gharama ya Maisha tatizo Kuu Kwa Wakenya -Ipsos

    (GMT+08:00) 2018-01-08 19:51:40

    Gharama ya maisha imepanda zaidi, utafiti wa shirika la Ipsos imeonyesha.

    Maduka kadhaa tayari yamepandisha bei ya unga wa mahindi unaotegemewa na idadi kubwa ya wananchi kwa lishe ya kila siku.

    Bei ya mahindi imepanda kutoka sh90 hadi zaidi ya sh100 imetokana na serikali kusitisha mpango wa kufadhili.

    Ada ya umeme pia inatarajiwa kupanda baada ya kufichuka shirika la Kenya Power linadai wateja wake sh bilioni 8.1.

    Utafiti wa Ipsos ulibainisha asilimia 29 ya Wakenya wanatatizika zaidi na gharama ya juu ya maisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako