• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:abiria wa SGR wanaweza kununua tiketi zao kwenye mtandao

    (GMT+08:00) 2018-01-08 19:52:01

    Shirika la Reli la Kenya limetangaza kuwa abiria wanaosafiri kwa kutumia Madaraka Express wanaweza sasa kununua tiketi zao kwenye mtandao.

    Jukwaa la mtandaoni litawezesha wateja kununua tiketi tano tu, na kulipa kwa njia ya M-Pesa, amesema Mkurugenzi Mtendaji wa KRC Atanas Maina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako