• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya ya nunua bidhaa nyingi kutoka Tanzania

    (GMT+08:00) 2018-01-08 19:52:20

    Tanzania iliuza bidhaa zaidi nchini Kenya katika miezi 10 hadi mwezi Oktoba mwaka jana licha ya kukata matumizi ya bidhaa za ndani.

    Takwimu za Benki Kuu ya Kenya zinaonyesha uagizaji kutoka Tanzania uliongezeka kwa asilimia 25.44 na kufikia Sh bilioni 13.264 katika kipindi cha miezi 10 mwaka ikilinganishwa na mwaka uliopita.

    Mauzo kuelekea Tanzania mwezi Oktoba ilishuka kwa asilimia 18.9 na kufika sh bilioni 23.38.

    Tanzania ndio muuzaji wa nne wa bidhaa mkubwa nchini Kenya ikifutwa na Afrika Kusini Misri na Uganda ikiwa ya mwisho.

    Kenya uagiza ngano, nguo, ngozi , mbegu za mafuta, mboga, mchele, karatasi, viatu, mbao, plastiki na mpira, kati ya bidhaa nyingine kutoka Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako