• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pambazuka lottery kusitisha biashara zake kenya

    (GMT+08:00) 2018-01-08 19:52:40

    Pambazuka National Lottery imesema imesimamisha oparesheni zake nchini Kenya kwa sababu ya ushuru mpya utakao tonzwa na serikali wa asilimia 35.

    Wanadai kwamba kodi mpya imefanya kazi ikuwe ngumu, Pambazuka imesema gharama ya operesheni ya sasa imeongezeka hadi asilimia 115 jambo limefanya biashara kuwa ngumu.

    Imesitisha shughuli zake zote hadi pale vitu vitakapo badilika kwa sekta ya bahati nasibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako