• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eritrea ya funga mamia ya biashara

    (GMT+08:00) 2018-01-08 19:52:58

    Eritrea imefunga kwa muda mfupi biashara karibu 450 za kibinafsi, hatua hii imeathiri uchumi wa Taifa wab bahari nyekundu.

    Kufungwa kwa biashara kumetokana kwa makampuni kuweka fedha na kukosa kufanya biashara na mifumo mengine ya benki.

    Biashara nyingi zilizoathirika zinafanya kazi katika sekta ya ukarimu, kulingana na tangazo hilo, zitabakia kufungwa kwa muda wa miezi na nena, kulingana na ukali wa ukiukwaji.

    Kulingana na serikali chini ya asilimia 1 ya biashara 58,000 za kibinafsi zinazofanya kazi nchini kote, ndizozilizo athirika na kufungwa kwa hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako