• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ongezeko la bei ya mkate lazua maandamano Sudan

    (GMT+08:00) 2018-01-08 19:53:21

    Kumekuwa na maandamano katika miji mbalimbali nchini Sudan mara baada ya gharama ya mkate kuongezeka mara mbili zaidi.

    Hatua hiyo ya maandamano imekuja baada ya serikali ya nchi hiyo kufanya maamuzi ya kuondoa ruzuku ya vyakula na kusababisha gharama ya mkate kuwa kubwa mara dufu.

    Serikali ya Sudakm,m,,mmn pia imezuia magazeti yote yaliyokosoa ongezeko la bei kutouzwa.

    Maamuzi ya kuongeza bei ya mkate kwa serikali ya Sudan ni sehemu ya kufuata matakwa ya IMF ili kukuza uchumi wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako